ALLAH'S TEMPLE:

QUR'ANI TAKATIFU YA MAKKAH (HOLY KORAN OF MECCA IN KISWAHILI)

HOME
THE QUEEN
KORAN ORDER?
GEO-SOLUTIONS
MENTAL POWER
QURANI
WHY MOORS?
NEW TIME
MARCUS GARVEY?
T.U.D.N.R.
T.U.P.A.C.
VIDEO 2
MOABITE
CONTACT
T.U.P.A.T.
REBUILDING
MKUUKUU
HISTORY
M.A.N.
THE LIBRARY
NEW FEZ
RECORDS
THE LAW
UPDATES
WORKSPACE
LOCATIONS
VIDEO 1
WHICH HEAVEN?
GOD'S SON?
THE VOICE
FOUNDATION
OLIVE SHADE?
FAMILY
SIGN IN

the last five chapters....

110 - ANNAS'R

Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi, 2 Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi, 3 Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba.

 

111 - AL-MASAD

Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia. 2 Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma. 3 Atauingia Moto wenye mwako. 4 Na mkewe, mchukuzi wa kuni, 5 Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa.

 

112 - Al-IKHLAS'

Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 2 Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 3 Hakuzaa wala hakuzaliwa. 4 Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

 

113 - AL-FALAQ

Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, 2 Na shari ya alivyo viumba, 3 Na shari ya giza la usiku liingiapo, 4 Na shari ya wanao pulizia mafundoni, 5 Na shari ya hasidi anapo husudu.

 

114 - AL-ANNAS

1. Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu

2. Mfalme wa wanaadamu

3. Mungu wa wanaadamu

4. Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas

5. Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu,

6. Kutokana na majini na wanaadamu

Enter supporting content here


Get
                  a playlist! Standalone player Get Ringtones

JOIN ALLAH'S TEMPLE,
morocco.gif
WE'RE ABOUT OUR FATHERS WORK